
Serikali imewasafisha aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, David Jairo huku ikimpandisha cheo aliyekuwa Mganga
Mkuu wa Serikali Deo Mtasiwa.
Nyoni alisimamishwa kazi pamoja na aliyekuwa
Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Deo Mtasiwa na wote kwa pamoja walikuwa na
tuhuma za kutumia vibaya madaraka yao wakiwa watumishi...