
Fanicha za hoteli ya Blue Pearl viitolewa nje. (picha: The Citizen)
Huduma za hoteli ya Blue Pear ya Ubungo jijini Dar es Salaam imefungwa
baada ya mmiliki kuripotiwa kushindwa kulipa fedha ya pango
inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni sita ($3,800,000).
Gazeti la The CITIZEN
linaripoti kuwa juzi mchana maafisa wa kampuni ya Majembe Auction Mart
walifika katika eneo la hoteli hiyo na kuanza kutoa fanicha nje kisha
kuzipakia...