Thursday, 13 March 2014

SAMIA SULUHU HASSAN NDIYE MAKAMU MWENYEKITI BUNGE LA KATIBA

Filled under:

 

Samia Suluhu Hassan


Samia Suluhu Hassan ndiye Makamu Mwenyekiti wa Kudumu Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata kura 390 sawa na 74% na kumshinda mpinzani wake Amina Abdallah Amour aliyepata jumla ya kura 126 sawa na 24%. Kwa matokeo hayo, Samia Hassan ataungana na Samuel Sitta aliyechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa bunge hilo katika mchakato mzima wa kupata katiba…

0 comments:

Post a Comment