Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick
Sumaye wakisubiri kuingia ukumbini kuhojiwa na Tume ya Maadili ya CCM,
leo mjini Dodoma, kuhusiana na kudaiwa kujipigia kampeni za kuwania
urais katika uchaguzi mkuu ujao kabla ya wakati kuwadia
Waziri wa Nishati na Madini wa zamani, William Ngeleja akisubiri pia kwenda chumba cha kuhojiwa.
0 comments:
Post a Comment