Msanii maarufu
ambae pia ni Producer wa mziki na mmliki wa studio ya Sharobaro Records ,Bob Junior
ameingia katika kashfa nyingine baada ya
duka moja la nguo kujitokeza na kumdai
msanii huyo kiasi cha shilingi 180,000tsh za kitanzania,
Muuzaji wa duka hilo
amesema Bob Junior huwa anaenda kuchukua nguo ambazo huwa tunamkopesha mpaka
sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga kalenda kulipa deni
hilo.
Gazeti moja
la hapa Bongo limejalibu kumtafuta Bob na kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema
yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na
hilo duka
0 comments:
Post a Comment