Dk. Slaa, Prof. Baregu watofautiana*Tamko rasmi sasa
kutolewaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema aliyekuwa Naibu
Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya
chama hicho, Dk. Kitila Mkumbo, ni waongo na wazushi.Katika kikao chake cha
dharura kilichokutana jana, ikiwa ni siku moja baada ya Zitto na Dk. Kitila
kuzungumza na waandishi wa habari, Kamati Kuu ya chama hicho, imesema taarifa
zilizotolewa juzi na Zitto na Dk. Kitila kwa waandishi wa habari ni za uongo.Akizungumza
na RAI, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema...
0 comments:
Post a Comment