Thursday, 30 October 2014

AJIRA: MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY CENTRE

Filled under:

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO OFFICE ASSISTANT - NYUMBU WASAILIWA WALIOFANIKIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO, MAHALI: NYUMBU - KIBAHA TAREHE 30-10-2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. KADA: OFFICE ASSISTANTEXAMINATION NUMBES    SCORE    REMARKSPSRS NYUMBU OA 0022    55    SELECTEDPSRS NYUMBU OA 0042    55    SELECTEDPSRS NYUMBU OA 0024    50    SELECTEDPSRS NYUMBU OA 0028    50    SELECTEDPSRS NYUMBU...

Posted By Unknown12:08

Monday, 13 October 2014

TAMKO LA WAKRISTO BUKOBA KUHUSIANA NA MAUAJI PAMOJA NA UCHOMAJI WA MAKANISA

Filled under:

TAMKO LA WAKRISTO BUKOBA KUHUSIANA NA MAUAJI PAMOJA NA UCHOMAJI MAKANISA TAREHE 11/10/2014. Baada ya tukio la kutisha la kushambuliwa kwa washirika na hatimaye kuuawa kwa mshirika na kujeruhiwa vibaya kwa mwingine kanisani Kagemu PAG; Wachungaji na viongozi wa kiroho wa Bukoba tumepokea taarifa hizi kwa mshtuko mkubwa. Tumekutana tarehe 10 Oct 2014 na kutafakari hatima ya wakristo katika eneo hili. Matukio rejea tuliyojikumbusha ni kama ifuatavyo: 1. Kanisa la Living water pale Buyekera mlimani limechomwa moto mara. 2. Kanisa...

Posted By Unknown04:18

Tuesday, 7 October 2014

ALIYEBADILI JINSIA ASHINDA KESI

Filled under:

Audrey amekuwa akitaka baraza la mitihani kubadili jina lake na utambulisho wake wa kijinsia Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya. Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti...

Posted By Unknown10:08

MDEE NA WENZAKE WASOTEKWA SEGEREA

Filled under:

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao. Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili. Mdee na wenzake...

Posted By Unknown09:59