Mchungaji Ambakisye Lusekelo akihubir
Mama Kanumba, Flora Mtegoa akitoa neno la shukurani madhabahuni.
Watu mbalimbali waliohudhuria wakiwa nje ya kanisa baada ya ibada.
Mzee Chilo akimfariji Lulu baada ya kuingia katika eneo la Makaburi ya Kinondoni.
Lulu akiwa amepiga magoti kwenye kaburi la Kanumba.
…akiwa anawasha mshumaa.
Mama Kanumba akiwa amekaa kwenye kaburi la mwanaye akilia kwa uchungu.
Wasanii na wadau mbalimbali wakiwa wamelizunguka kaburi la Kanumba.
Steve Nyerere akiongoza sala nyingine baada ya watu wengine kuondoka kaburini hapo.
Ikiwa leo imetimia miaka miwili tangu aliyekuwa msanii maarufu wa filamu, Steven Kanumba afariki dunia bado ameendelea kuwaliza watu hasa mama yake na aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’Ibada ya shukurani ya kumbukumbu imefanyika katika kanisa la KKKT Kimara Temboni na kuhudhuriwa na watu mbalimbali pamoja na wasanii wachache.
0 comments:
Post a Comment