VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard
Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa
kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15
kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
Dar!
Maofisa hao wa serikali kwa sasa wapo mahabusu kwenye Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu ambapo ndugu na jamaa wanaangaika kutafuta fedha za
kuwalipia dhamana.
0 comments:
Post a Comment