Milipuko miwili inayosadikika ni mabomu imetokea zanzibar,milipuko hiyo imetokea maeneo mawili tofauti na kusababisha hasara kubwa na hofu kwa wananchi wa maeneo hayo, mlipuko mmoja umetokea katika kanisa la Anglican na mwingine katika Hotel ya Mercury,polisi wamefika katika eneo hilo na tathimini ya madhahara yaliyotokea hayajajulikana bado
0 comments:
Post a Comment