Mbunge wa Arusha mjini Goodbless lema amekanusha nakukemea vilali baadhi ya ya watu
wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengneza na kusambaza picha za utupu (chafu) ambazo zinaonyesha udhalilishaji kwa mbunge huyo.
Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake amenukuu na
kusema anakerwa sana na tabia ya watu kusambaza picha kama hizo ambazo zina
sambazwa kwa lengo la kumuhalibia utu wake na sifa yake ya kuwa kiongozi
bora,mbunge huyo amesema hatua kali zitachukuliwa ikiwa kulifikisha suala hilo
ndani ya uongozi wa bunge akiwepo spika anne makinga,naibu job ndugai na katibu
wa bunge
Mbunge huyo amesema ameamua kufanya hivyo sababau hilo suala
sio siri tena kwa sababa lika kwenye mitandao ya kijamii antegemea bunge
litatoa wajibu wa jinsi gan heshima ya mbunge huyo imeshushwa na kudhalilishwa
kwa makusudi bila kujali utu na heshima ya mbunge huyo
Good start then edit news before post to avoid spelling error,otherwise yur so good keep it up.
ReplyDelete